Skip to product information
 +974 Reviews

Waya wa Chaji 4 kwa 1 ยท Mita 2 ยท Hadi 240W (Nunua 1, Pata 1 BURE)

Waya wa Chaji 4 kwa 1 ยท Mita 2 ยท Hadi 240W (Nunua 1, Pata 1 BURE)

Waya mmoja kwa iPhone, Samsung, Infinix, Tecno na laptop.

๐Ÿ”„ย 4 kwa 1: USB-A na USB-C upande mmoja, Lightning na USB-C upande wa pili

โšก Hadi 240W kwa vifaa vinavyoruhusu

๐Ÿ“ Mita 2: unachaji ukiwa kitandani au kwenye kochi

๐Ÿ’ช Imara sana: silicone nene na vichwa vya chuma

๐ŸŒˆ Taa ya rangi inawaka ukichaji

๐Ÿ’พ Hamisha data: picha na nyimbo hadi kompyuta

Nunua 1, pata 1 BURE. Lipa ukipokea.

Order Via WhatsApp View full details

    Jinsi ya kuagiza

    Kuagiza ni rahisi: hatua 3 tu

    Hulipi chochote kabla

    1. 01

      Chagua na uagize

      Bonyeza Agiza, jaza jina, namba ya simu na mahali ulipo.

    2. 02

      Tunakupigia kuthibitisha

      Simu fupi au WhatsApp kuthibitisha oda na mahali ulipo.

    3. 03

      Lipa ukipokea

      Kagua bidhaa yako mlangoni, kisha lipa. Hulipi chochote kabla.

    Nani amechukua chaja yangu?

    ๐Ÿ“ฑ iPhone za zamani na mpya
    ๐Ÿค– Samsung, Infinix, Tecno na Android zote za USB-C
    ๐Ÿ’ป Laptop, tablet na earbuds za USB-C

    Waya mmoja. Amani nyumbani.

    Taa inawaka. Simu inachaji.

    โœ… Taa inawaka ukichaji
    โšก Kasi ya juu kwa vifaa vinavyoruhusu
    ๐Ÿ’พ Hamisha picha na nyimbo hadi 480 Mbps

    Picha halisi. Hakuna filters.

    Mita 2. Chaji popote.

    ๐Ÿ›๏ธ Chaji ukiwa umelala
    ๐Ÿ›‹๏ธ Kwenye kochi, hata soketi ikiwa mbali
    ๐ŸŽ’ Unaukunja vizuri, unaingia kwenye begi

    Uhuru wa mita 2.